Hinweis: Diese Website ist noch in der Beta-Phase - Wir bauen zur Zeit alles auf, aber du kannst bereits deine Apps zum Mitmachen downloaden.

Jinsi ya kupima unyevu

Kipimo cha kupima unyevunyevu (tazama mfano hapa chini) hupima jinsi hewa ilivyo na unyevunyevu katika eneo fulani. Hii pia inaitwa unyevu wa kwa kulinganishwa.

  ID 1676 hygrometer

Inaweza kupima unyevunyevu kwenye hewa kutoka 0% (kavu kabisa) hadi 100% (yenye unyevu sana). alama kwenye kipima unyevunyevu zimegawanywa katika vipindi vya 1% (alama fupi) na 5% (alama ndefu). Alama iliyo karibu na mshale ni unyevunyevu wa sasa. Katika mfano hapo juu unyevu ni 50%.